Mkurugenzi Mtendaji wa AMDT Bw. Charles Obutu akiongea na Waandishi wa habari Kuhusu kuingia makubaliano na wadau mbalimbali ya Kuungana na serikali katika kutekeleza awamu ya Pili ya Mpango wa kuendeleza kilimo (SDP2) Oktoba 7, Mkoani Dar es salaam.
Muwakilishi wa Taasisi ya RUDI, Bw. Gervas Majori akiongea katika Mkutano na Waandishi wa habari uliyoandaliwa na Taasisi ya AMDT Kuhusu kuingia makubaliano na wadau mbalimbali ya Kuungana na Serikali katika kutekeleza awamu ya Pili ya Mpango wa kuendeleza kilimo (SDP2) Oktoba 7, Mkoani Dar es salaam